News

RSS
saa 7 za mkononi ambazo  haziingii  maji ziko hapa

saa 7 za mkononi ambazo haziingii maji ziko hapa

saa 7 za mkononi ambazo haziingii maji ziko hapa ebwana eeh najua ni mara nyingi umekuwa ukijiuliza ni vipi saa ina uwezo wa kuzuia maji yasiingie ndani yake basi leo nakuletea saa 7 ambazo ni water resistant  saa hizi zimewekewa...

Read now
JE WAJUA SAA ZENYE MOYO KAMA WA BINADAMU

JE WAJUA SAA ZENYE MOYO KAMA WA BINADAMU

NDio najua bado kichwani mwako unajiuliza saa zenye moyo wa binadamu kivipi? basi mwandishi wa  makala hii ndo kazi yangu kukupa majibu na elimu kuhusu saa zenye moyo...tuanzie hapa msomaji  saa zenye moyo  kwa lugha sahihi ya kiswahili ni saa...

Read now
JINSI SAA YA BLUETOOTH SMARTWATCH INAVYOFANYA KAZI

JINSI SAA YA BLUETOOTH SMARTWATCH INAVYOFANYA KAZI

JINSI SAA YA BLUETOOTH SMARTWATCH INAVYOFANYA KAZIhii saa bana ngoja nikwambie ni saa fulani ya kawaida sana ila imeshavunja record ya mauzo sehemu mbali mbali..afu ni saa fulani simple iko chini ya mfumo wa digital kiswahili saa za kimwekumweku...hii saa...

Read now
WHY THIS WATCH IS BEST SELLING IN TANZANIA

WHY THIS WATCH IS BEST SELLING IN TANZANIA

KWANINI SAA HII INAONGOZA KWA MAUZOau kwa lugha ya wazungu why this watch is best selling ...hili swali nilijiuliza kwa siku tatu mfulizo kwanini saa ilikuwa best selling mwezi tatu na wapili kwenye website nyingi dunia ikiwemo na ya kwetu....nikasema...

Read now
UMUHIMU WA KUVAA SAA YA MKONONI

UMUHIMU WA KUVAA SAA YA MKONONI

leo tutajaribu kuongalia sababu kwanini tunatakiwa tuvae saa za mkoni yaani nini haswa kinatulazimisha kuvaa saa za mkononi , hebu kwa tujue saa za mkononi zilianza kuvaliwa mwaka gani .kabla ya  vita ya kwanza ya dunia kulikuwa kuna saa za...

Read now